Yobu 32:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Hata Elihu alipoona kuwa hapana jawabu katika vinywa vya watu hao watatu, hasira zake ziliwaka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Lakini alipoona hao watu watatu wameshindwa kumjibu Yobu, aliwaka hasira. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Lakini alipoona hao watu watatu wameshindwa kumjibu Yobu, aliwaka hasira. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Lakini alipoona hao watu watatu wameshindwa kumjibu Yobu, aliwaka hasira. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Lakini alipoona watu hao watatu hawakuwa na kitu zaidi cha kusema, hasira yake ikaamka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Lakini alipoona watu hao watatu hawakuwa na kitu zaidi cha kusema, hasira yake ikaamka. Tazama sura |