Yobu 32:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Basi huyo Elihu alikuwa anangoja ili anene na Ayubu, kwa sababu hao wengine walikuwa wazee kuliko yeye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Elihu alikuwa amekaa kimya wakati hao wazee waliposema na Yobu kwa kuwa yeye alikuwa kijana kuliko wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Elihu alikuwa amekaa kimya wakati hao wazee waliposema na Yobu kwa kuwa yeye alikuwa kijana kuliko wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Elihu alikuwa amekaa kimya wakati hao wazee waliposema na Yobu kwa kuwa yeye alikuwa kijana kuliko wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Basi Elihu alikuwa amesubiri kwanza waongee na Ayubu, kwa sababu walikuwa na umri mkubwa kuliko yeye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Basi Elihu alikuwa amesubiri kwanza waongee na Ayubu kwa sababu walikuwa na umri mkubwa kumliko yeye. Tazama sura |