Yobu 32:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Tafadhali, nisiupendelee uso wa mtu; Wala sitajipendekeza kwa mtu yeyote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Sitampendelea mtu yeyote wala kutumia maneno ya kubembeleza mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Sitampendelea mtu yeyote wala kutumia maneno ya kubembeleza mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Sitampendelea mtu yeyote wala kutumia maneno ya kubembeleza mtu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Sitampendelea mtu yeyote, wala sitajipendekeza kwa mtu yeyote; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Sitampendelea mtu yeyote, wala sitajipendekeza kwa mtu yeyote; Tazama sura |