Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yobu 32:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Nitanena, ili nipate kutulia; Nitafunua midomo yangu na kujibu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Ni lazima niseme ili nipate nafuu; yanipasa kufungua kinywa changu na kujibu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Ni lazima niseme ili nipate nafuu; yanipasa kufungua kinywa changu na kujibu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Ni lazima niseme ili nipate nafuu; yanipasa kufungua kinywa changu na kujibu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Ni lazima niseme ili niweze kutulia; ni lazima nifumbue midomo yangu nipate kujibu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Ni lazima niseme ili niweze kutulia; ni lazima nifumbue midomo yangu nipate kujibu.

Tazama sura Nakili

Yobu 32:20
8 Marejeleo ya Msalaba  

Nyamazeni, niacheni, ili nipate kunena, Na hayo yatakayonijia na yaje.

Yuko nani atakayeshindana nami? Maana sasa nitanyamaza kimya na kukata roho.

Kwa hiyo mawazo yangu hunipa jawabu, Kwa ajili ya haraka niliyo nayo ndani yangu.

Niacheni, nami pia nitanena; Tena nikiisha nena, zidini kudhihaki.

Tazama, tumbo langu ni kama divai iliyozibwa; Kama viriba vipya liko karibu kupasuka.

Tafadhali, nisiupendelee uso wa mtu; Wala sitajipendekeza kwa mtu yeyote.

Mtu akijaribu kuzungumza nawe, je! Utaona ni vibaya? Lakini ni nani awezaye kujizuia asinene?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo