Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yobu 32:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Mimi nami nitajibu sehemu yangu, Mimi nami nitaonesha nionavyo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Mimi pia nitatoa jibu langu; mimi nitatoa pia maoni yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Mimi pia nitatoa jibu langu; mimi nitatoa pia maoni yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Mimi pia nitatoa jibu langu; mimi nitatoa pia maoni yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Mimi nami nitakuwa na la kusema; mimi nami nitasema lile nilijualo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Mimi nami nitakuwa na la kusema; mimi nami nitasema lile nilijualo.

Tazama sura Nakili

Yobu 32:17
5 Marejeleo ya Msalaba  

Basi nilisema, Nisikilizeni mimi; Mimi nami nitawaonesha nionavyo.

Na mimi, je! Ningoje, kwa sababu hawaneni, Kwa sababu wasimama kimya, wala wasijibu tena;

Kwa kuwa nimejaa maneno; Roho iliyo ndani yangu hunihimiza.

Tazama, nitakujibu, katika neno hili huna haki; Kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mwanadamu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo