Yobu 32:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Wameshangaa, hawajibu tena; Hawana neno la kusema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 “Nyinyi mmeduwaa; mmeshindwa, nyinyi hamna cha kusema zaidi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 “Nyinyi mmeduwaa; mmeshindwa, nyinyi hamna cha kusema zaidi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 “Nyinyi mmeduwaa; mmeshindwa, nyinyi hamna cha kusema zaidi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 “Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema; maneno yamewaishia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 “Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema; maneno yamewaishia. Tazama sura |