Yobu 32:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Kwa kuwa yeye hajayaelekeza maneno yake kwangu; Wala sitamjibu mimi kwa maneno yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Maneno ya Yobu hayakuwa kwa ajili yangu, kwa hiyo sitamjibu kama mlivyomjibu nyinyi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Maneno ya Yobu hayakuwa kwa ajili yangu, kwa hiyo sitamjibu kama mlivyomjibu nyinyi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Maneno ya Yobu hayakuwa kwa ajili yangu, kwa hiyo sitamjibu kama mlivyomjibu nyinyi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Lakini Ayubu hajayapanga maneno yake dhidi yangu, nami sitamjibu kwa kutumia hoja zenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Lakini Ayubu hajayapanga maneno yake dhidi yangu, nami sitamjibu kwa kutumia hoja zenu. Tazama sura |