Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yobu 32:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Tazama, niliyangojea maneno yenu, Nilizisikiliza nisikie hoja zenu, Hapo mlipokitafuta mtakalonena.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 “Basi, mimi nilingojea mlichotaka kusema, nilisikiliza misemo yenu ya hekima, mlipokuwa mnajaribu kutafuta la kusema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 “Basi, mimi nilingojea mlichotaka kusema, nilisikiliza misemo yenu ya hekima, mlipokuwa mnajaribu kutafuta la kusema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 “Basi, mimi nilingojea mlichotaka kusema, nilisikiliza misemo yenu ya hekima, mlipokuwa mnajaribu kutafuta la kusema.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Nilingojea mlipokuwa mnaongea, nilizisikiliza hoja zenu; mlipokuwa mkitafuta maneno ya kusema,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Nilingojea mlipokuwa mnaongea, nilizisikiliza hoja zenu; mlipokuwa mkitafuta maneno ya kusema,

Tazama sura Nakili

Yobu 32:11
9 Marejeleo ya Msalaba  

Watu walitega masikio kunisikiliza, na kungoja, Wakanyamaza kimya wapate kusikia mashauri yangu.

Walikuwa wakiningojea kama kungojea mvua; Wakafunua vinywa vyao sana kama mvua ya masika.

Basi nilisema, Nisikilizeni mimi; Mimi nami nitawaonesha nionavyo.

Naam, niliwasikiza ninyi, Na tazama, hapana mmoja aliyemshinda Ayubu, Wala kumjibu maneno yake, kati yenu.

Basi huyo Elihu alikuwa anangoja ili anene na Ayubu, kwa sababu hao wengine walikuwa wazee kuliko yeye.

Tazama, haya tumeyapeleleza, ndivyo yalivyo; Yasikie, uyajue, ili upate mema.

Ajiteteaye kwanza huonekana kuwa ana haki; Lakini jirani yake huja na kumchunguza.

Mtu tajiri ana hekima machoni pake mwenyewe; Bali maskini mwenye ufahamu humchunguza sana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo