Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 32:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Basi nilisema, Nisikilizeni mimi; Mimi nami nitawaonesha nionavyo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Kwa hiyo nasema, ‘Nisikilizeni, acheni nami nitoe maoni yangu.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Kwa hiyo nasema, ‘Nisikilizeni, acheni nami nitoe maoni yangu.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Kwa hiyo nasema, ‘Nisikilizeni, acheni nami nitoe maoni yangu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 “Kwa hiyo nasema: Nisikilizeni; mimi nami nitawaambia ninalolijua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 “Kwa hiyo nasema: Nisikilizeni mimi; mimi nami nitawaambia lile ninalojua.

Tazama sura Nakili




Yobu 32:10
4 Marejeleo ya Msalaba  

Tazama, niliyangojea maneno yenu, Nilizisikiliza nisikie hoja zenu, Hapo mlipokitafuta mtakalonena.


Sio wakuu walio wenye hekima, Wala sio wazee watambuao haki.


Kuhusu wanawali sina amri ya Bwana, lakini natoa shauri langu, mimi niliyejaliwa kwa rehema za Bwana kuwa mwaminifu.


Lakini heri yeye zaidi akikaa kama alivyo; ndivyo nionavyo mimi, nami nadhani ya kuwa mimi nami nina Roho wa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo