Yobu 32:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Basi hao watu watatu wakaacha kumjibu Ayubu, kwa sababu alikuwa mwenye haki machoni pake mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Basi hawa watu watatu: Elifazi, Bildadi na Sofari, wakaacha kumjibu Yobu kwa vile alijiona kuwa mwema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Basi hawa watu watatu: Elifazi, Bildadi na Sofari, wakaacha kumjibu Yobu kwa vile alijiona kuwa mwema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Basi hawa watu watatu: Elifazi, Bildadi na Sofari, wakaacha kumjibu Yobu kwa vile alijiona kuwa mwema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Basi watu hawa watatu wakaacha kumjibu Ayubu, kwa kuwa alikuwa mwadilifu machoni pake mwenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Basi watu hawa watatu wakaacha kumjibu Ayubu, kwa kuwa alikuwa mwadilifu machoni pake mwenyewe. Tazama sura |