Yobu 30:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Hung'oa mboga ya chumvi kwenye kichaka; Na mizizi ya mretemu ni chakula chao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Walichuma mimea jangwani na majani msituni wakala, walikula hata mizizi ya mti wa mfagio. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Walichuma mimea jangwani na majani msituni wakala, walikula hata mizizi ya mti wa mfagio. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Walichuma mimea jangwani na majani msituni wakala, walikula hata mizizi ya mti wa mfagio. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Katika vichaka walikusanya mimea ya chumvi, nacho chakula chao kilikuwa mizizi ya mti wa mfagio. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Katika vichaka walikusanya mimea ya chumvi, nacho chakula chao kilikuwa mizizi ya mti wa mfagio. Tazama sura |