Yobu 30:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Naam, uwezo wa mikono yao utanifaa nini? Watu ambao nguvu zao zimekoma. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Ningepata faida gani mikononi mwao, watu ambao nguvu zao zilikuwa zimewaishia? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Ningepata faida gani mikononi mwao, watu ambao nguvu zao zilikuwa zimewaishia? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Ningepata faida gani mikononi mwao, watu ambao nguvu zao zilikuwa zimewaishia? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Nguvu za mikono yao zingekuwa na faida gani kwangu, kwa kuwa nguvu zao zilikuwa zimewaishia? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Nguvu za mikono yao zingekuwa na faida gani kwangu, kwa kuwa nguvu zao zilikuwa zimewaishia? Tazama sura |