Yobu 30:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Yeye amenibwaga topeni, Nami nimekuwa kama mavumbi na majivu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Amenibwaga matopeni; nimekuwa kama majivu na mavumbi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Amenibwaga matopeni; nimekuwa kama majivu na mavumbi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Amenibwaga matopeni; nimekuwa kama majivu na mavumbi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Yeye amenitupa kwenye matope, nami nimekuwa kama mavumbi na majivu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Yeye amenitupa kwenye matope, nami nimekuwa kama mavumbi na majivu. Tazama sura |