Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 3:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Nyota za mapambazuko yake na ziwe giza; Na utafute mwanga lakini usiupate; Wala usiyaone mapambazuko;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Nyota zake za pambazuko zififie, utamani kupata mwanga, lakini usipate, wala usione nuru ya pambazuko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Nyota zake za pambazuko zififie, utamani kupata mwanga, lakini usipate, wala usione nuru ya pambazuko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Nyota zake za pambazuko zififie, utamani kupata mwanga, lakini usipate, wala usione nuru ya pambazuko.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Nyota zake za alfajiri na ziwe giza; nao ungojee mwanga bila mafanikio, wala usiione miali ya mapambazuko,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Nyota zake za alfajiri na ziwe giza; nao ungojee mwanga bila mafanikio, wala usiuone mwonzi wa kwanza wa mapambazuko,

Tazama sura Nakili




Yobu 3:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa sababu haukuifunga milango ya tumbo la mamangu. Wala kunifichia taabu machoni.


Na waulaani hao waulaanio mchana, Hao walio tayari kumwamsha huyo Lewiathani.


Hapo nilipotazamia mema, ndipo yakaja mabaya; Nami nilipongojea mwanga, likaja giza.


Hapana aliye mkali hata akathubutu kumwamsha; Bali ni nani awezaye kusimama mbele yangu mimi?


Kwa kuchemua kwake mwanga humemetuka, Na macho yake yanafanana na koze za alfajiri.


Mtukuzeni BWANA, Mungu wenu, kabla hajaleta giza, na kabla miguu yenu haijakwaa juu ya milima yenye giza; na wakati mnapoitazamia nuru, kabla hajaigeuza kuwa kivuli cha mauti, na giza nene.


Tulitazamia amani, lakini hayakuja mema yoyote; tulitazamia wakati wa kupona, na tazama, kufadhaika tu!


Tufuate:

Matangazo


Matangazo