Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 3:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Kwa nini mtu aliyezibiwa njia kupewa mwanga, Ambaye Mungu amemzingira kwa ukigo?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Ya nini kumjalia uhai mtu ambaye njia zake zimefungwa, mtu ambaye Mungu amemwekea kizuizi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Ya nini kumjalia uhai mtu ambaye njia zake zimefungwa, mtu ambaye Mungu amemwekea kizuizi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Ya nini kumjalia uhai mtu ambaye njia zake zimefungwa, mtu ambaye Mungu amemwekea kizuizi?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Kwa nini uhai hupewa mtu ambaye njia yake imefichika, ambaye Mungu amemzingira?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Kwa nini uhai hupewa mtu ambaye njia yake imefichika, ambaye Mungu amemzungushia boma?

Tazama sura Nakili




Yobu 3:23
13 Marejeleo ya Msalaba  

Tazama, yuavunja, wala haiwezekani kujenga tena; Humfunga mtu, wala haiwezekani kumfungua.


Waitia miguu yangu katika mkatale, na kuyakagua mapito yangu yote; Wajiandikia alama kuzizunguka nyayo za miguu yangu;


Majeshi yake husongea pamoja, na kunipandishia njia yao, Na kupiga kambi kuizunguka hema yangu.


Jueni basi kuwa Mungu amenipotosha, Na kunizingira kwa wavu wake.


Yeye ameiziba njia yangu nisipate kupita, Na kutia giza katika mapito yangu.


Ambao wafurahi mno, Na kushangilia watakapoliona kaburi?


Wala hukunitia mikononi mwa adui; Miguu yangu umeisimamisha mahali penye usalama.


Wanijuao umewatenga nami; Umenifanya kuwa chukizo kwao; Nimefungwa wala siwezi kutoka.


Jicho langu limefifia kwa ajili ya mateso BWANA, ninakuita kila siku; Ninakunyoshea Wewe mikono yangu.


Mbona unasema, Ee Yakobo, mbona unanena, Ee Israeli, Njia yangu imefichwa, BWANA asiione, na hukumu yangu imempita Mungu wangu asiiangalie?


Amenizinga pande zote hata siwezi kutoka; Amenifunga kwa mnyororo mzito.


Ameziziba njia zangu kwa mawe yaliyochongwa; Ameyapotosha mapito yangu.


Basi kwa ajili ya hayo, angalia, nitaiziba njia yako kwa miiba, nami nitafanya kitalu juu yake, asipate kuyaona mapito yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo