Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 3:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Wakuu na wadogo wako huko; Mtumishi yuko huru kwa bwana wake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Wakubwa na wadogo wako huko, nao watumwa wamepata uhuru mbali na bwana zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Wakubwa na wadogo wako huko, nao watumwa wamepata uhuru mbali na bwana zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Wakubwa na wadogo wako huko, nao watumwa wamepata uhuru mbali na bwana zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Wadogo kwa wakubwa wamo humo, na mtumwa ameachiwa huru kutoka kwa bwana wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Wadogo na wakubwa wamo humo, na mtumwa ameachiwa huru kutoka kwa bwana wake.

Tazama sura Nakili




Yobu 3:19
13 Marejeleo ya Msalaba  

Wao hulala mavumbini sawasawa, Mabuu huwafunika.


Udongo wa bondeni utakuwa tamu kwake, Na watu wote watafuata nyuma yake, Kama vile walivyomtangulia watu wasiohesabika.


Huko wafungwa wanastarehe pamoja; Hawaisikii sauti yake msimamizi.


Mbona yeye aliye mashakani kupewa mwanga, Na hao wenye uchungu rohoni kupewa uhai;


Kwani najua kuwa utanileta hata kifoni, Niifikie nyumba waliyoaandaliwa wenye uhai wote.


Watu wakuu na watu wadogo wote pia, Tajiri na maskini wote pamoja.


Naam, wataogopa kilichoinuka Na vitisho vitakuwapo njiani; Na mlozi utachanua maua; Na panzi atakuwa ni mzigo mzito; Na pilipili hoho itapasuka; Maana mtu aiendea nyumba yake ya milele, Nao waombolezao wazunguka njiani.


Nayo mavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa, Nayo roho kumrudia Mungu aliyeitoa.


Hakuna mwenye uwezo juu ya roho aizuie roho; Wala hana mamlaka juu ya siku ya kufa; Wala hakuna kuponyoka katika vita vile; Wala uovu hautamwokoa yule aliyeuzoea.


Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo