Yobu 3:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Huko wafungwa wanastarehe pamoja; Hawaisikii sauti yake msimamizi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Huko wafungwa hustarehe pamoja, hawaisikii kamwe sauti ya mnyapara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Huko wafungwa hustarehe pamoja, hawaisikii kamwe sauti ya mnyapara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Huko wafungwa hustarehe pamoja, hawaisikii kamwe sauti ya mnyapara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Wafungwa nao hufurahia utulivu wao, hawasikii tena sauti ya kukemea ya kiongozi wa watumwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Wafungwa nao hufurahia utulivu wao, hawasikii tena sauti ya kukemea ya kiongozi wa watumwa. Tazama sura |