Yobu 29:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Wakati nilipotoka kwenda mjini, kupitia langoni, Nilipokitengeza kiti changu katika njia kuu, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Nilipokutana na wazee langoni mwa mji na kuchukua nafasi yangu mkutanoni, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Nilipokutana na wazee langoni mwa mji na kuchukua nafasi yangu mkutanoni, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Nilipokutana na wazee langoni mwa mji na kuchukua nafasi yangu mkutanoni, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 “Wakati nilienda kwenye lango la mji na kuketi katika kiwanja, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 “Wakati nilipokwenda kwenye lango la mji na kuketi katika kiwanja, Tazama sura |