Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 29:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Wakati hatua zangu zilipokuwa zikioshwa kwa siagi, Nalo jabali liliponimiminia mito ya mafuta!

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Nyakati hizo niliogelea kwenye ufanisi, miamba ilinitiririshia vijito vya mafuta!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Nyakati hizo niliogelea kwenye ufanisi, miamba ilinitiririshia vijito vya mafuta!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Nyakati hizo niliogelea kwenye ufanisi, miamba ilinitiririshia vijito vya mafuta!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 wakati njia yangu ilikuwa imenyeshewa siagi, nao mwamba ukanimiminia vijito vya mafuta ya zeituni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 wakati njia yangu ilikuwa imenyweshewa siagi, nao mwamba ukanimiminia vijito vya mafuta ya zeituni.

Tazama sura Nakili




Yobu 29:6
7 Marejeleo ya Msalaba  

Atafunga punda wake katika mzabibu, Na mwanapunda wake katika mzabibu mzuri. Amefua nguo zake kwa mvinyo, Na mavazi yake kwa damu ya zabibu.


Hataiangalia hiyo mito ya maji, Vile vijito vilivyojaa asali na siagi.


Wakati Mwenyezi alipokuwa angali pamoja nami, Nao watoto wangu walipokuwa wakinizunguka;


Naam, ningewalisha kwa ngano iliyo bora zaidi, Ningewashibisha kwa asali itokayo mwambani.


Hivyo ulipambwa kwa dhahabu na fedha; na mavazi yako yalikuwa ya kitani safi, na hariri, na kazi ya taraza; ulikula unga mzuri, na asali, na mafuta; nawe ulikuwa mzuri mno, ukafanikiwa hata kufikia hali ya kifalme.


Na Asheri akamnena, Na abarikiwe Asheri kwa watoto; Na akubaliwe katika nduguze, Na achovye mguu wake katika mafuta.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo