Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 29:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Kama nilivyokuwa katika siku zangu za kukomaa, Hapo siri ya Mungu ilipokuwa hemani mwangu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Wakati huo nilifikia ukamilifu wa maisha, wakati urafiki wa Mungu ulikaa nyumbani kwangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Wakati huo nilifikia ukamilifu wa maisha, wakati urafiki wa Mungu ulikaa nyumbani kwangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Wakati huo nilifikia ukamilifu wa maisha, wakati urafiki wa Mungu ulikaa nyumbani kwangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Natamani siku zile nilizokuwa katika ustawi wangu, urafiki wa Mungu wa ndani ulipoibariki nyumba yangu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Natamani siku zile nilizokuwa katika ustawi wangu, wakati urafiki wa Mungu wa ndani ulipoibariki nyumba yangu,

Tazama sura Nakili




Yobu 29:4
8 Marejeleo ya Msalaba  

Wewe hukumzingira kwa ukigo pande zote, pamoja na nyumba yake, na vitu vyote alivyo navyo? Kazi za mikono yake umezibarikia, nayo mali yake imeongezeka katika nchi.


Je! Umesikiza ushauri wa siri ya Mungu? Nawe je! Wazuia hekima iwe yako tu?


Wakati Mwenyezi alipokuwa angali pamoja nami, Nao watoto wangu walipokuwa wakinizunguka;


Siri ya BWANA iko kwao wamchao, Naye atawajulisha agano lake.


Maana atanisitiri bandani mwake siku ya mabaya, Atanisitiri katika sitara ya hema yake, Na kuniinua juu ya mwamba.


Aketiye mahali pa siri pake Aliye Juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi.


Maana mtu mjeuri ni chukizo kwa BWANA, Bali siri yake ni pamoja na wanyofu.


Kwa maana mlikufa, na uhai wenu umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo