Yobu 29:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Utukufu wangu utakuwa mpya kwangu, Na uta wangu hurejeshwa upya mkononi mwangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Napata fahari mpya daima, na nguvu zangu tayari kama mshale na upinde. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Napata fahari mpya daima, na nguvu zangu tayari kama mshale na upinde. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Napata fahari mpya daima, na nguvu zangu tayari kama mshale na upinde. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Utukufu wangu utabakia kuwa mpya ndani yangu, upinde wangu daima utaendelea kuwa mpya mkononi mwangu.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Utukufu wangu utabakia kuwa mpya ndani yangu, upinde wangu daima utaendelea kuwa mpya mkononi mwangu.’ Tazama sura |