Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 29:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Shina langu limeenea hata kufika majini, Na umande hukaa usiku kucha katika matawi yangu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Mimi ni kama mti uliotandaza mizizi majini, umande wa usiku huburudisha matawi yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Mimi ni kama mti uliotandaza mizizi majini, umande wa usiku huburudisha matawi yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Mimi ni kama mti uliotandaza mizizi majini, umande wa usiku huburudisha matawi yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Mizizi yangu itafika hata kwenye maji, nao umande utakaa juu ya matawi yangu usiku kucha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Mizizi yangu itafika mpaka kwenye maji, nao umande utakaa juu ya matawi yangu usiku kucha.

Tazama sura Nakili




Yobu 29:19
6 Marejeleo ya Msalaba  

Chini, mizizi yake itakaushwa; Na juu, tawi lake litasinyaa.


Ndipo niliposema, Nitakufa ndani ya kiota changu, Nami nitaziongeza siku zangu kama mchanga;


Mizizi yake huzongazonga chuguu, Huangalia mahali penye mawe.


Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki; Na kila alitendalo litafanikiwa.


Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji, Uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa joto ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo