Yobu 29:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Nilikuwa macho kwa kipofu, Nilikuwa miguu kwa aliyechechemea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Kwa vipofu nilikuwa macho ya kuwaonesha njia, kwa viwete nilikuwa miguu yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Kwa vipofu nilikuwa macho ya kuwaonesha njia, kwa viwete nilikuwa miguu yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Kwa vipofu nilikuwa macho ya kuwaonesha njia, kwa viwete nilikuwa miguu yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Nilikuwa macho ya kipofu na miguu kwa kiwete. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Nilikuwa macho ya kipofu na miguu kwa kiwete. Tazama sura |