Yobu 29:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Maana sikio liliponisikia, ndipo likanibarikia; Na jicho liliponiona, likanishuhudia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kila aliyesikia habari zangu alinitakia heri na aliponiona, alikubali habari hizo kuwa kweli: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kila aliyesikia habari zangu alinitakia heri na aliponiona, alikubali habari hizo kuwa kweli: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kila aliyesikia habari zangu alinitakia heri na aliponiona, alikubali habari hizo kuwa kweli: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Yeyote aliyenisikia alinena mema juu yangu, nao walioniona walinisifu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Yeyote aliyenisikia alinena mema juu yangu, nao walioniona walinisifu, Tazama sura |