Yobu 28:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Njia ile hapana ndege mkali aijuaye, Wala jicho la tai halijaiona; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 “Njia za kwenda kwenye migodi hiyo hakuna ndege mla nyama azijuaye; na wala jicho la tai halijaiona. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 “Njia za kwenda kwenye migodi hiyo hakuna ndege mla nyama azijuaye; na wala jicho la tai halijaiona. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 “Njia za kwenda kwenye migodi hiyo hakuna ndege mla nyama azijuaye; na wala jicho la tai halijaiona. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Hakuna ndege awindaye aijuaye njia ile iliyofichika, wala hakuna jicho la mwewe lililoiona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Hakuna ndege awindaye aijuaye njia ile iliyofichika, wala hakuna jicho la mwewe lililoiona. Tazama sura |