Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 28:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Hufukua shimo mbali na makao ya watu; Husahauliwa na nyayo zipitazo; Huning'inia mbali na watu, huyumbayumba huku na huko.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Binadamu huchimba mashimo mbali na makazi ya watu, mbali na watu mahali kusipofikika, wachimba madini huninginia wamefungwa kamba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Binadamu huchimba mashimo mbali na makazi ya watu, mbali na watu mahali kusipofikika, wachimba madini huninginia wamefungwa kamba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Binadamu huchimba mashimo mbali na makazi ya watu, mbali na watu mahali kusipofikika, wachimba madini huning'inia wamefungwa kamba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Huchimba shimo jembamba mbali na makao ya watu, mahali paliposahaulika na nyayo za wanadamu; mbali na wanadamu huning’inia na kubembea.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Huchimba shimo jembamba mbali na makao ya watu, mahali paliposahaulika na nyayo za wanadamu; mbali na wanadamu huning’inia na kupembea kwa kamba.

Tazama sura Nakili




Yobu 28:4
3 Marejeleo ya Msalaba  

Katika mwaka wa mia sita wa maisha ya Nuhu, mwezi wa pili, siku ya kumi na saba ya mwezi, siku ile chemchemi zote za vilindi vikuu zilibubujika kwa nguvu, madirisha ya mbinguni yakafunguka.


Binadamu hukomesha giza; Huyatafutatafuta hata katika maeneo ya mbali, Mawe ya madini katika giza, giza kuu.


Katika ardhi ndimo kitokeamo chakula; Na chini yake hupinduliwa kama kwa moto.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo