Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yobu 28:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Binadamu hukomesha giza; Huyatafutatafuta hata katika maeneo ya mbali, Mawe ya madini katika giza, giza kuu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Wachimba migodi huleta taa gizani, huchunguza vina vya ardhi na kuchimbua mawe yenye madini gizani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Wachimba migodi huleta taa gizani, huchunguza vina vya ardhi na kuchimbua mawe yenye madini gizani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Wachimba migodi huleta taa gizani, huchunguza vina vya ardhi na kuchimbua mawe yenye madini gizani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Mwanadamu hukomesha giza; huyatafuta hadi sehemu iliyo mbali, kwa ajili ya kuchimbua mawe yenye madini katika giza jeusi sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Mwanadamu hukomesha giza; huyatafuta hadi sehemu iliyo mbali, kwa ajili ya kuchimbua mawe yenye madini katika giza jeusi sana.

Tazama sura Nakili

Yobu 28:3
11 Marejeleo ya Msalaba  

Huvumbua mambo ya siri tokea gizani, Na hicho kilicho giza tupu huleta mwangani.

Chuma hufukuliwa katika ardhi, Na shaba huyeyushwa katika mawe.

Hufukua shimo mbali na makao ya watu; Husahauliwa na nyayo zipitazo; Huning'inia mbali na watu, huyumbayumba huku na huko.

Ishikwe na giza, giza tupu, kuwa yake; Wingu na likae juu yake; Chote kiifanyacho siku kuwa giza na kiitishe.

Ukiutafuta kama fedha, Na kuutafutia kama hazina iliyositirika;

Nikatia moyo wangu ili kuyatafuta yote yanayotendeka chini ya mbingu, na kuyavumbua kwa hekima; ni taabu kubwa ambayo Mungu amewapa wanadamu, ili kutaabika ndani yake.

Angalieni; je! Jambo hili halikutoka kwa BWANA wa majeshi, kwamba watu wajishughulikie moto, na mataifa wajisumbue kwa ajili ya ubatili?

Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.

Yule bwana akamsifu wakili asiyemwaminifu kwa vile alivyotenda kwa busara; kwa kuwa wana wa ulimwengu huu katika kizazi chao wenyewe huwa na busara kuliko wana wa nuru.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo