Yobu 28:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Ndipo alipoiona na kuitangaza; Aliithibitisha, naam, na kuichunguza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 hapo ndipo alipoiona hekima na kuitangaza, aliisimika na kuichunguza.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 hapo ndipo alipoiona hekima na kuitangaza, aliisimika na kuichunguza.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 hapo ndipo alipoiona hekima na kuitangaza, aliisimika na kuichunguza.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 ndipo alipoitazama hekima na kuikadiria thamani yake, akaithibitisha na kuihakikisha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 ndipo alipoitazama hekima na kuikadiria thamani yake, akaithibitisha na kuihakikisha. Tazama sura |