Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 28:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 Apate kuufanyia upepo uzito wake; Naam, anayapima maji kwa kipimo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Alipoupa upepo uzito wake, na kuyapimia maji mipaka yake;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Alipoupa upepo uzito wake, na kuyapimia maji mipaka yake;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Alipoupa upepo uzito wake, na kuyapimia maji mipaka yake;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Alipoufanyia upepo nguvu zake na kuyapima maji,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Alipofanyiza nguvu za upepo na kuyapima maji,

Tazama sura Nakili




Yobu 28:25
7 Marejeleo ya Msalaba  

Tazama, yuayazuia maji, nayo yakatika; Tena, huyatuma, nayo yaipindua dunia.


Je! Wajua wewe jinsi Mungu anavyoziagiza, Na kuufanya umeme wa wingu lake uangaze?


Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya nchi? Haya! Sema, kama una ufahamu.


Ni nani aliyeamrisha vipimo vyake – hakika unajua! Au ni nani aliyenyosha kamba juu yake?


Au ni nani aliyeifunga bahari kwa milango, Hapo ilipotoka kwa nguvu kama kwamba imetoka tumboni mwa nchi.


Ndiye apandishaye mvuke toka miisho ya nchi; Huifanyia mvua umeme; Hutoa upepo katika ghala zake.


Ni nani aliyeyapima maji kwa konzi ya mkono wake, na kuzikadiria mbingu kwa shubiri, na kuyashika mavumbi ya dunia katika pishi, na kuipima milima kwa uzani, na vilima kama kwa mizani?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo