Yobu 28:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Havitatajwa fedhaluka wala bilauri; Naam, kima cha hekima chapita marijani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Hekima ina thamani kuliko matumbawe na marijani, thamani yake yashinda thamani ya lulu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Hekima ina thamani kuliko matumbawe na marijani, thamani yake yashinda thamani ya lulu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Hekima ina thamani kuliko matumbawe na marijani, thamani yake yashinda thamani ya lulu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Marijani na yaspi hazistahili kutajwa; thamani ya hekima ni zaidi ya akiki nyekundu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Marijani na yaspi hazistahili kutajwa; thamani ya hekima ni zaidi ya akiki nyekundu. Tazama sura |