Yobu 28:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Dhahabu na vioo haviwezi kulinganishwa nayo; Wala kubadili kwake hakutakuwa kwa vyombo vya dhahabu safi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 dhahabu au kioo havilingani nayo, wala haiwezi kubadilishwa na vito vya dhahabu safi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 dhahabu au kioo havilingani nayo, wala haiwezi kubadilishwa na vito vya dhahabu safi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 dhahabu au kioo havilingani nayo, wala haiwezi kubadilishwa na vito vya dhahabu safi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Dhahabu wala mawe maangavu haviwezi kulinganishwa nayo, wala haiwezi hubadilishwa kwa vito vya dhahabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Dhahabu wala mawe maangavu haviwezi kulinganishwa nayo, wala haiwezi hubadilishwa na vito vya dhahabu. Tazama sura |