Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 28:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Vilindi vyasema, Haimo ndani yangu; Na bahari yasema, Haiko kwangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Vilindi vyasema, ‘Hekima haimo kwetu,’ na bahari yasema, ‘Haiko kwangu.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Vilindi vyasema, ‘Hekima haimo kwetu,’ na bahari yasema, ‘Haiko kwangu.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Vilindi vyasema, ‘Hekima haimo kwetu,’ na bahari yasema, ‘Haiko kwangu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Kilindi husema, “Haiko ndani yangu”; bahari nayo husema, “Haiko pamoja nami.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Kilindi husema, ‘Haiko ndani yangu’; bahari nayo husema, ‘Haiko pamoja nami.’

Tazama sura Nakili




Yobu 28:14
4 Marejeleo ya Msalaba  

Mwanadamu hajui thamani yake, Wala haionekani katika nchi ya walio hai.


Haipatikani kwa dhahabu, Wala fedha haitapimwa iwe thamani yake.


Hufanya mapito yake kung'aa nyuma yake Hata mtu angedhani kilindi kina mvi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo