Yobu 28:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Hufunga vijito visichuruzike; Na kitu kilichositirika hukifunua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Huziba chemchemi zisitiririke, na kufichua vitu vilivyofichika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Huziba chemchemi zisitiririke, na kufichua vitu vilivyofichika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Huziba chemchemi zisitiririke, na kufichua vitu vilivyofichika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Hutafuta vyanzo vya mito na kuvileta vitu vilivyofichika katika nuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Hutafuta vyanzo vya mito na kuvileta vitu vilivyofichika katika nuru. Tazama sura |