Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yobu 28:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Hukata mifereji kati ya majabali; Na jicho lake huona kila kito cha thamani.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Hupasua mifereji kati ya majabali, na jicho lake huona vito vya thamani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Hupasua mifereji kati ya majabali, na jicho lake huona vito vya thamani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Hupasua mifereji kati ya majabali, na jicho lake huona vito vya thamani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Hutoboa shimo refu la kupenya chini kwa chini kwenye miamba; macho yake huona hazina zake zote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Hutoboa shimo refu la kupenya chini kwa chini kwenye miamba; macho yake huona hazina zake zote.

Tazama sura Nakili

Yobu 28:10
5 Marejeleo ya Msalaba  

Hufunga vijito visichuruzike; Na kitu kilichositirika hukifunua.

Huunyoshea mwamba wa gumegume mkono wake; Huipindua milima hata misingi yake.

Katika kila kazi mna faida; Bali maneno ya midomo huleta hasara tu.

Na kwa maarifa vyumba vyake hujazwa Vitu vyote vya thamani na vya kupendeza.

Uta wako ukafanywa wazi kabisa; Viapo walivyopewa kabila vilikuwa neno thabiti; Ukaipasua nchi kwa mito.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo