Yobu 27:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Yeye hujilaza hali ni tajiri, lakini ndio mwisho; Hufunua macho yake, naye hayuko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Huenda kulala tajiri, lakini ni mara ya mwisho; atafungua macho yake, na utajiri wake umetoweka! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Huenda kulala tajiri, lakini ni mara ya mwisho; atafungua macho yake, na utajiri wake umetoweka! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Huenda kulala tajiri, lakini ni mara ya mwisho; atafungua macho yake, na utajiri wake umetoweka! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Yeye hulala akiwa tajiri, lakini ndiyo mara ya mwisho; afunguapo macho yake, yote yametoweka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Yeye hulala akiwa tajiri, lakini ndiyo mara ya mwisho; afunguapo macho yake, yote yametoweka. Tazama sura |