Yobu 27:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Yeye hujenga nyumba yake kama mdudu, Na kama kibanda afanyacho mlinzi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Nyumba ajengayo mwovu ni kama utando wa buibui, ni kama kibanda cha mlinzi shambani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Nyumba ajengayo mwovu ni kama utando wa buibui, ni kama kibanda cha mlinzi shambani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Nyumba ajengayo mwovu ni kama utando wa buibui, ni kama kibanda cha mlinzi shambani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Nyumba aijengayo ni kama utando wa buibui, kama kibanda alichotengeneza mlinzi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Nyumba aijengayo ni kama utando wa buibui, kama kibanda alichotengeneza mlinzi. Tazama sura |