Yobu 27:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Hao watakaosalia kwake watakufa kwa maradhi mabaya, Wala wajane wake waliofiwa na waume hawataomboleza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Wale watakaopona watakufa kwa maradhi mabaya, na wajane wao hawatawaombolezea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Wale watakaopona watakufa kwa maradhi mabaya, na wajane wao hawatawaombolezea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Wale watakaopona watakufa kwa maradhi mabaya, na wajane wao hawatawaombolezea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Tauni itawazika wale watakaonusurika miongoni mwao, nao wajane wao hawatawaombolezea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Tauni itawazika wale watakaonusurika miongoni mwao, nao wajane wao hawatawaombolezea. Tazama sura |