Yobu 27:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Watoto wake wakiongezeka ni kwa upanga; Na wazao wake hawatashiba chakula. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Watoto wake hata wawe wengi watauawa kwa upanga; wazawa wake hawatakuwa na chakula cha kutosha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Watoto wake hata wawe wengi watauawa kwa upanga; wazawa wake hawatakuwa na chakula cha kutosha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Watoto wake hata wawe wengi watauawa kwa upanga; wazawa wake hawatakuwa na chakula cha kutosha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Hata watoto wake wawe wengi kiasi gani, fungu lao ni kuuawa kwa upanga; wazao wake hawatakuwa kamwe na chakula cha kuwatosha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Hata kama watoto wake watakuwa wengi kiasi gani, fungu lao ni kuuawa kwa upanga; wazao wake hawatakuwa kamwe na chakula cha kuwatosha. Tazama sura |