Yobu 26:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Huyafunga maji ndani ya mawingu yake mazito; Na hilo wingu halipasuki chini yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 huyafunga maji mawinguni yawe mazito, nayo mawingu hayapasuki kwa uzito wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 huyafunga maji mawinguni yawe mazito, nayo mawingu hayapasuki kwa uzito wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 huyafunga maji mawinguni yawe mazito, nayo mawingu hayapasuki kwa uzito wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Huyafungia maji kwenye mawingu yake, hata hivyo mawingu hayapasuki kwa uzito wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Huyafungia maji kwenye mawingu yake, hata hivyo mawingu hayapasuki kwa uzito wake. Tazama sura |