Yobu 26:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Je! Umetamka maneno kwa nani? Kisha ni roho ya nani iliyotoka kwako? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Lakini umetamka hayo kwa ajili ya nani? Nani aliyekusukuma kuongea hivyo?” Bildadi akajibu: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Lakini umetamka hayo kwa ajili ya nani? Nani aliyekusukuma kuongea hivyo?” Bildadi akajibu: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Lakini umetamka hayo kwa ajili ya nani? Nani aliyekusukuma kuongea hivyo?” Uwezo mkuu wa Mungu Bildadi akajibu: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Ni nani aliyekusaidia kutamka maneno hayo? Nayo ni roho ya nani iliyosema kutoka kinywani mwako? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Ni nani aliyekusaidia kutamka maneno hayo? Nayo ni roho ya nani iliyosema kutoka kinywani mwako? Tazama sura |