Yobu 26:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Tazama, hivi ni viunga tu vya njia zake; Na jinsi yalivyo madogo manong'ono tusikiayo katika habari zake! Lakini ngurumo za uweza wake ni nani awezaye kuzielewa? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Yamkini haya ni machache tu ya matendo yake, ni minongono tu tunayosikia juu yake. Nani awezaye kujua ukuu wa nguvu yake?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Yamkini haya ni machache tu ya matendo yake, ni minongono tu tunayosikia juu yake. Nani awezaye kujua ukuu wa nguvu yake?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Yamkini haya ni machache tu ya matendo yake, ni minong'ono tu tunayosikia juu yake. Nani awezaye kujua ukuu wa nguvu yake?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Haya ni mambo madogo tu katika matendo yake; tazama jinsi ulivyo mdogo mnong’ono tunaousikia kumhusu! Ni nani basi awezaye kuelewa ngurumo za nguvu zake?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Haya ni mambo madogo tu katika matendo yake; tazama jinsi ulivyo mdogo mnong’ono tunaousikia kumhusu! Ni nani basi awezaye kuelewa ngurumo za nguvu zake?” Tazama sura |