Yobu 24:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Hutota kwa manyunyu ya milimani, Na kugandamania kwa jabali ili kujikinga, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Wamelowa kwa mvua ya milimani, hujibanza miambani kujificha wasilowe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Wamelowa kwa mvua ya milimani, hujibanza miambani kujificha wasilowe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Wamelowa kwa mvua ya milimani, hujibanza miambani kujificha wasilowe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Hutota kwa mvua za mlimani, nao huikumbatia miamba kwa ajili ya kukosa pa kujisitiri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Hutota kwa mvua za mlimani, nao huikumbatia miamba kwa ajili ya kukosa pa kujisitiri. Tazama sura |