Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 24:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Wao hutoboa nyumba gizani; Hujifungia ndani wakati wa mchana; Hawaujui mwanga.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Usiku wezi huvunja nyumba, lakini mchana hujifungia ndani; wala hawajui kabisa mwanga ni nini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Usiku wezi huvunja nyumba, lakini mchana hujifungia ndani; wala hawajui kabisa mwanga ni nini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Usiku wezi huvunja nyumba, lakini mchana hujifungia ndani; wala hawajui kabisa mwanga ni nini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Katika giza, huvunja nyumba, lakini wakati wa mchana hujifungia ndani; hawataki kufanya lolote nuruni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Katika giza, huvunja majumba, lakini wakati wa mchana hujifungia ndani; hawataki kufanya lolote nuruni.

Tazama sura Nakili




Yobu 24:16
9 Marejeleo ya Msalaba  

Hawa ni katika hao waliouasi mwanga; Hawazijui njia zake, Wala hawakai katika mapito yake.


Naye mkuu aliye kati yao atachukua begani katika giza; naye atatoka kwenda zake; watatoboa mahali ukutani, wapate kuvichukua vyombo vyao nje; atafunika uso wake, kwa sababu hataiona nchi kwa macho yake.


Lakini fahamuni neno hili; kama mwenye nyumba angaliujua ule wakati mwizi atakaokuja, angalikesha, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa.


Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wezi huvunja na kuiba;


Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo