Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 23:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Na mkono wa kushoto, afanyapo kazi, lakini siwezi kumwona; Hujificha upande wa kulia, hata nisimwone.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Namtafuta upande wa kushoto lakini simwoni; nageukia kulia, lakini siwezi kumwona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Namtafuta upande wa kushoto lakini simwoni; nageukia kulia, lakini siwezi kumwona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Namtafuta upande wa kushoto lakini simwoni; nageukia kulia, lakini siwezi kumwona.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Anapokuwa kazini pande za kaskazini, simwoni; akigeukia kusini, nako simwoni hata kidogo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Anapokuwa kazini pande za kaskazini, simwoni; akigeukia kusini, nako simwoni hata kidogo.

Tazama sura Nakili




Yobu 23:9
9 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini mambo haya uliyaficha moyoni mwako; Najua kuwa haya yamo nafsini mwako;


Lakini yeye aijua njia niendeayo; Akisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu.


Tazama, naenda mbele, wala hayuko; Narudi nyuma, lakini siwezi kumwona;


Akitoa utulivu yeye, ni nani awezaye kuhukumia makosa? Akificha uso wake, ni nani awezaye kumtazama? Kama hufanyiwa taifa, au mtu mmoja, ni sawasawa;


Sembuse usemapo wewe ya kuwa humwangalii, Hiyo kesi i mbele yake, nawe wamngojea!


Tazama, yuaenda karibu nami, nisimwone; Tena yuapita kwenda mbele, nisimtambue.


Hadi lini, Ee BWANA? Utajificha hata milele? Ghadhabu yako itawaka kama moto hadi lini?


Hakika wewe u Mungu ujifichaye nafsi yako, Ee Mungu wa Israeli, Mwokozi.


Nami nitamngojea BWANA, awafichaye uso wake nyumba ya Yakobo, nami nitamtazamia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo