Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 23:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Hapo waelekevu wangepata kuhojiana naye; Basi hivyo ningeachiliwa na mwamuzi wangu milele.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Yeye aweza kuzungumza na mtu mnyofu, Mungu, hakimu wangu angeamua kuwa sina hatia milele.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Yeye aweza kuzungumza na mtu mnyofu, Mungu, hakimu wangu angeamua kuwa sina hatia milele.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Yeye aweza kuzungumza na mtu mnyofu, Mungu, hakimu wangu angeamua kuwa sina hatia milele.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Hapo mtu mwadilifu angeleta kesi yake mbele zake, nami ningeokolewa milele na mhukumu wangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Hapo mtu mwadilifu angeweka shauri lake mbele zake, nami ningeokolewa milele na mhukumu wangu.

Tazama sura Nakili




Yobu 23:7
10 Marejeleo ya Msalaba  

Hili nalo litakuwa ni wokovu wangu; Kwani asiyemcha Mungu hatakaribia mbele yake.


Hakika ningenena naye huyo Mwenyezi, Nami nataka kuhojiana na Mungu.


Lakini yeye aijua njia niendeayo; Akisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu.


Ambaye, nijapokuwa mimi ni mwenye haki, siwezi kumjibu; Ni lazima nimwombe mshitaki wangu anihurumie.


Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama damu, zitakuwa kama sufu.


Wewe u mwenye haki, Ee BWANA, nitetapo nawe, lakini nitasema nawe katika habari ya haki. Mbona njia ya wabaya inasitawi? Mbona wote watendao hila wanakaa salama?


Je! Ataishika hasira yake hata milele? Ataishika hata mwisho? Tazama, umesema hivyo, bali umetenda mambo mabaya, umefuata njia yako mwenyewe.


Sasa, basi, hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo