Yobu 23:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Ningeyajua maneno atakayonijibu, Na kuelewa hayo atakayoniambia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Ningeweza kujua atakachonijibu, na kuelewa atakachoniambia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Ningeweza kujua atakachonijibu, na kuelewa atakachoniambia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Ningeweza kujua atakachonijibu, na kuelewa atakachoniambia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Ningejua kwamba angenijibu nini, na kuelewa lile angeniambia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Ningejua kwamba angenijibu nini, na kuelewa lile ambalo angelisema. Tazama sura |