Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 23:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Ningeiweka kesi yangu mbele yake, Na kukijaza kinywa changu hoja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Ningeleta kesi yangu mbele yake, na kumtolea hoja yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Ningeleta kesi yangu mbele yake, na kumtolea hoja yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Ningeleta kesi yangu mbele yake, na kumtolea hoja yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Ningeleta kesi yangu mbele zake, na kukijaza kinywa changu na hoja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Ningeliweka shauri langu mbele zake, na kukijaza kinywa changu na hoja.

Tazama sura Nakili




Yobu 23:4
15 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe ulisema, Hakika nitakutendea mema, nami nitafanya uzao wako uwe kama mchanga wa bahari, usiohesabika kwa kuwa mwingi.


Angalieni sasa, nimekwisha kulitengeneza neno langu, Najua ya kuwa mimi ni mwenye haki.


Hakika ningenena naye huyo Mwenyezi, Nami nataka kuhojiana na Mungu.


Laiti ningejua mahali niwezapo kumwona, Nifike hata hapo anapokaa!


Ningeyajua maneno atakayonijibu, Na kuelewa hayo atakayoniambia.


Utufundishe ni maneno gani tutakayomwambia; Kwa kuwa hatuwezi kutoa hoja zetu maana tumo gizani.


Je! Mwenye hoja atashindana na Mwenyezi? Mwenye kujadiliana na Mungu, na ajibu yeye.


Ee BWANA, kwa ajili ya jina lako, Unisamehe uovu wangu, maana ni mwingi.


Ee Bwana, unihukumu, unitetee kwa taifa lisilo haki, Uniokoe kutoka kwa mtu wa hila asiye haki.


Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo