Yobu 23:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Kwani yeye hulitimiliza hilo nililoamriwa; Tena mambo mengi kama hayo ya pamoja naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Atanijulisha yote aliyonipangia; na mengi kama hayo yamo akilini mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Atanijulisha yote aliyonipangia; na mengi kama hayo yamo akilini mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Atanijulisha yote aliyonipangia; na mengi kama hayo yamo akilini mwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Hutimiliza maagizo yake dhidi yangu, na bado anayo mipango mingi kama hiyo ambayo ameiweka akiba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Hutimiliza maagizo yake dhidi yangu, na bado anayo mipango mingi kama hiyo ambayo ameiweka akiba. Tazama sura |