Yobu 22:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Je! Uovu wako si mkuu? Wala maovu yako hayana mwisho. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 La! Uovu wako ni mkubwa mno! Ubaya wako hauna mwisho! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 La! Uovu wako ni mkubwa mno! Ubaya wako hauna mwisho! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 La! Uovu wako ni mkubwa mno! Ubaya wako hauna mwisho! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Je, uovu wako si mkuu? Dhambi zako si hazina mwisho? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Je, uovu wako si mkuu? Dhambi zako si hazina mwisho? Tazama sura |