Yobu 22:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Je! Ni kwa wewe kumcha yeye anakukemea? Na kuingia hukumuni nawe? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Unadhani anakurudi na kukuhukumu kwa sababu wewe unamheshimu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Unadhani anakurudi na kukuhukumu kwa sababu wewe unamheshimu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Unadhani anakurudi na kukuhukumu kwa sababu wewe unamheshimu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 “Je, ni kwa ajili ya utaua wako ndiyo maana anakukemea na kuleta mashtaka dhidi yako? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 “Je, ni kwa ajili ya utaua wako ndiyo maana anakukemea na kuleta mashtaka dhidi yako? Tazama sura |